Balotteli afungiwa mechi nne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balotteli afungiwa mechi nne

Discussion in 'Sports' started by Rogie, Jan 24, 2012.

 1. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Mchezaji mkorofi wa Manchester City,Mario Balotteli amefungiwa na chama cha soka Uingereza kucheza mechi nne baada ya kumpiga/kumchezea faulo mchezaji wa Tottenham Scot Parker. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mwamuzi wa mchezo kurudia mkanda wa mchezo huo.. Mmoja wa viongozi wa Man City amesema bado hawajakutana ili kuzungumzia suala hlo na kuangalia namna ya kukata rufaa.

  Source: www.soccernet.com
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nne hazitoshi! kosa alilofanya alistahili ban ya mechi tano mkuu! nahisi jamaa anabwia unga!
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lile toto tundu sana!

  Anaanza adhabu lini?
  Kesho angetakiwa akose mechi ya Anflied kesho.
  Lakini ni mchezaji mzuri!
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu..anaudhi sn jamaa.
   
 5. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Huyu mchezaji mzuri lakini mpuuzi sana, ile foul ingempata yule mchezaji maeneo ya kichwa pengine ingekuwa msiba pale uwanjani. Mechi nne hazitoshi, angefungiwa hata mechi kumi na pia angekatwa mshahara ili ajifunze.
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tunaanza kuhesabu leo kaa ukijua hilo..
   
 7. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Amekuwa na ukorofi sn uwanjan..hii c mara ya kwanza kufanya upuuzi..angefungiwa ht miezi 3 kucheka mpira..
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,052
  Likes Received: 3,082
  Trophy Points: 280
  Naona soka la uingereza sasa linazidi kukomaa kisiasa,ili man city asiwe bingwa,ili man u awe bingwa FA tunahitaji kutoa adhabu sana hasa kipindi hiki hasa kwa wachezaji wa man city

  Tuache unazi na ubazazi,ni mara ngapi Rooney alikuwa anafanya utumbo uwanjani?mara apigane mara atusi mbona treatment haziko fairly?ni juzi tu mchezaji mmoja kanitoka kidogo wa wolves kampiga mwenzie kwa teke la nyuma tena vibaya mpaka akapewa straight red lakini mbona yaliishia hapo i.e ataikosa hyo mechi na zingine 2 zijazo,sasa kwa nini B.apewe siku 4 zote za nini kwamba kuanzia mechi ya kesho na ambayo kimsingi si Premier ...kwamba amekosea FA afungiwe mpaka Carling ama Premier afungiwe mpaka FA?kweli?

  Why inconsistent that much,na nyinyi mnaosema ingekuwa hata miezi3 mmezoea Tff yenu ambayo haioni aibu kumfungia mtu hata miezi6 alafu baadae wanategemea mpira ukue,lazima tujiulize kwa kina maana ya adhabu flani hasa ni nini?ni kuregulate ama ni kudissolve kabisa,ni kukomoa ama kusaidia?vinginevyo mnaweza kukuta mnatoa maamuzi kihisia ama wakati mwingine ili fulani afurahi..pole sana B,naamini timu yako itaendelea kuwashika wabaya wote

  Sie wadau tunaenjoy flavour ya sahv ya premier kwasababu imekaa vizuri na imeonesha ushindani na ndo tunafurahi sasa wengine wanaanza fitina ili fulani apite,ili fulani asipite,inakuwa kama ya bongo ambayo nilishanawa mikono make ni lazima Yanga,ni lazima Simba hata siasa zenyewe haziko hivi tena leo
   
 9. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 425
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Kazi kwenu Liverpool ...msipomfunga Man City kwenu na kikosi chake kile msahau kama mtakuja kuchukua kombe lingine tena
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mkuu uliangalia mechi lakini? acha ushabiki usio na mpango,lile ni kosa la makusudi kabisa,wabongo tuache siasa kwenye kila kitu,mpira always ni fair play kaka!!
   
 11. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Amefungiwa mechi 4 coz hii ni kadi ya pili nyekundu kupewa msimu huu. Ni km vle alivyofungiwa Vicent Kompany.
   
 12. salito

  salito JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Huyu dogo mpuuzi sana bora aenguliwe kimoja..
   
 13. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dogo mpuuzi sana yule
   
Loading...