utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga kuanza hivi karibuni jijini Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga kuanza hivi karibuni jijini Dar

Discussion in 'Sports' started by nngu007, Jan 20, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  [h=2]Friday, 20 January 2012[/h]
  [h=3]
  [/h]

  [​IMG]
  Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga (kulia) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa kwa ajili ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa Twiga jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga (kati),Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Mwesigwa Selestine wakisaini vitabu vya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa Twiga jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
  (Picha na Francis Dande).   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hongera YANGA kwa Mpango wa kujenga Jengo la Kitega Uchumi...

  Bravo !!!
   
Loading...