Sababu siskii clouds wakipromote mechi ya simba na al ahl shandy.Nashangaa maana hawa jamaa ni marafiki wakuzikana iweje leo wanatosana au simba "wameshtuka"?!
baada ya barca kutolewa majuzi,watu wengi hasa wale mashabiki wa mkono wa kushoto walidai wamefulia.sasa jana mungu co JK na madrid pia wametolewa ktk kipute cha mabingwa ulaya.sasa je nayo madrid...
Pep Guardiola will stand down as Barcelona manager at the end of the season after deciding not to renew his rolling one-year contract.The 41-year-old, who was appointed in 2008 and has led the...
KAMA AMBAVYO HAIKUTABIRIWA KUWA CHELSEA NA BUYERN WANGEFIKA FAINALI, VIVYO HIVYO HAIJATABIRIWA KUWA CHELSEA ATANYAKUA KOMBE. LAKINI UKITIZAMA TIMU NNE ZILIZOINGIA NUSUFAINALI UTAONA KWAMBA KATIKA...
The untouchable Barca and Real Madrid were eliminated from Champions League, but the modest teams, Atlético de Madrid and Athletic de Bilbao are in the finals of the European League.
What an irony!
Wamepoteza michezo mitatu iliyopita....
Wameondolewa kwenye UEFA champions league...
Wamezidiwa Point nyingi na dalali za kuvuliwa ubingwa wa la liga ni dhahiri...
JE HUU NDIO MWISHO WA BARCELONA??
Felix Sunzu
Personal information
Full name
Felix Mumba Sunzu
Date of birth
2 May 1989 (age 22)
Place of birth
Chingola, Zambia
Height
1.73 m (5 ft 8 in)...
Mpaka usawa huu bingwa yeyote atakayepatikana(kati ya Simba na Azam) kwa mtazamo wangu atakuwa hajapatikana kwa haki,ni miapango tu tena ya nje ya uwanja.
Wakati kina Mwasyika walipomtandika ngumi...
Ratiba ya robo fainali -fainali ya ligi ya mabingwa ulaya imetoka,na kuonyesha njia rahisi kwa Real,kufika fainali!
Imepangwa hivi:-
AC MILAN VS BARCELONA,CHELSEA VS BENFICA. Washindi wa...
Habari wanajamvi!
Inasemekana kuwa kwenye michuano hii,endapo mchezaji mmoja wa club anapopewa kadi nyekundu basi ni vigumu kutolewa kwa kadi nyingine nyekundu kwenye hiyo hiyo club.
Ushauri...
Mwanaume mmoja anayekadiliwa kuwa na umri kati ya 20-25 amekutwa amekufa ndani ya nyumba ya kulala wageni(guest)maeneo ya sinza,baada ya kumpekua alikutwa na pasi ya kusafiria ya Nigeria na akiwa...
Taarifa za leo kutoka TFF zimethibitisha kwamba katika mechi moja iliyochezwa tarehe wikiendi iliyopita, timu zilizocheza ziliambulia TZS 68,000/= kila moja (USD 42), kati ya TZS 460,000+...