YM Tuachie Timu Yetu. . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YM Tuachie Timu Yetu. .

Discussion in 'Sports' started by adakiss23, Sep 21, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,255
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  YM huna jipya. Tulikuchagua ili timu yetu iwe kama TP Mazembe. Sasa tunaelekea kushuka daraja. Tunaomba utuachie timu yetu kama Nchunga alivyoiacha.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,691
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Samahani ulikuwa unajaribu kuongelea nani YM au IAR?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  ukiwa shabiki wa yanga lazima uwe na usahaulifu wa hali ya juu maana unaweza usipost kitu humu..
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  mmmmmmmhhhhhhhhhhh???????????????????????????????????? YM JamiiForums ref. young master
   
 5. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  cheti chako kimefikisha divisheni 4?:mimba:
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  heheheheheeeeeeeeee itabidi apate ushauri mwingi tokea kwa dr MziziMkavu kuhusu matunzo ya hiyo :mimba:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  olituahidi kukamilisha uwanja wetu kule bunju mwishoni mwa mwaka huu, mnyama tv haikamati hata kwa satelite, kile kijengo chetu ulituahidi kitakua kama ppf tower naona hata rangi umeshimdwa ipaka,. Ebu ondoka maharage
   
Loading...