Naitamani Sana hii Kauli Tarehe 3 Okt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitamani Sana hii Kauli Tarehe 3 Okt

Discussion in 'Sports' started by adakiss23, Sep 22, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,255
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Ni Mrisho Khalfani Ngassssaaa anaipatia Simba bao la tatuuu.. Simba tatuuuu Yangaaaa bilaa!! Ni kazi nzuri ilifanya na haruna moshi boban hapa!! Naona wachezaji wa yanga wanashika viuno hawaamini macho yao hapa.. Wakati huo huo namuona athumani idd chuji anapiga jalamba hapa nadhani anaenda kuchukua nafasi ya huyu mbuyu twite amelowa kabisa. Na nahisi huyu mbuyu twite lazima alale na viatu na diclopar 3 leo.. Ni mtazamo 2 wadau!

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mtumzima hovyo!
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,846
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  Huo ni ukweli uliowazi kabisa..
   
 4. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 18,480
  Likes Received: 2,536
  Trophy Points: 280
  Ukweli mtupu
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160

  kaka hizo ni stress tu usiogope..
   
 6. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,265
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  nana picha wanachama wa simba wakiandamana nyumbani kwa rage kudai uwanja wao baada ya mechi ya simba na yanga!:argue:
   
 7. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,064
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ndoto za mchana,unaota unakula nyama kumbe unatafuna godoro.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hapo sina timu oteni ndoto zenu simba na yanga waje na ndoto zao.
  mimi maneno kwetuuuuuuuuuuuu.
   
 10. dri ma

  dri ma Senior Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  adakiss m nlifikir umeacha gongo kumbe bado unaendelea hv hujakoma 2; kutokana na nnavyomjua m2 huyu akiwa na hangover ya hi kilev huwa ana mawazo mgando sana kama mlivyoona wnyew
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kweri tupu
   
Loading...