Breaking news: Tetesi yanga yamtimua kocha mkuu wake

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
habari ambazo bado hazijadhibitishwa rasmi na uongozi wa yanga africans ni kuwa kocha mkuu wa timu hiyo TOM SANTIEF nae pia ametimuliwa baada ya kuwasimamisha kazi secretariet nzima ya timu hiyo.
 
.....yataibuka mengi; ngoja tuone, ila mi ninavyojua ni kwamba amepewa barua ya onyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom