Siasa mbovu za soka la bongo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa mbovu za soka la bongo!

Discussion in 'Sports' started by mageuzi1992, Sep 24, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu asiyeamini simba na yanga zinabebwa arudie kuangalia you tube kwenye internet mechi ya ngao ya hisani kati ya azam fc na simba sc.......
  Ushindi wa simba utata mtupu........
  Wacha unazi chambua you tube toa maoni yako.....simba ilibebwa!!!!
  Hatutafika popote kwa staili hii
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Hapa ni jukwaa la siasa! na pia hiyo clip ya youtube ungekuwa mtu makini ungeweka hapa na utoe comments kwamba miongoni mwa sheria 17 za soka ipi ilikiukwa kuibeba simba acha kubwabwaja kama umekunywa maji ya betri!
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  chambua ndio nani?
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  mchezaji wa zamani wa yanga
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  sidhani kama mdiye anayetajwa hapa, maana the reffered chambua kwenye hi thread ni mshabiki wa simba
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  siyo siri..........
   
 7. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Team ya Wananchi(Yanga) inaingiaje kwenye mchezo wa Ngao ya Hisani uliowakutanisha team mbili rafiki na ndugu Simba na Azam be straight Mkuu kuwa Simba walibebwa na ndo zao kubebwa, kila siku penalt fatilia michezo yao utakubaliana na mimi na mtoa mada
   
Loading...