Maoni yangu kwa bmt na tff. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni yangu kwa bmt na tff.

Discussion in 'Sports' started by Tanzania1960, Sep 23, 2012.

 1. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tafadhali sana klabu inayofukuza wachezaji na makocha holela zithibitiwe
  kwa sababu zinachafua sifa za taifa letu kwa ujumla.
  ianze kwa yanga.
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sifuri kabisa.
  Kwa taarifa yako there is a say that "Coaches are hired to be fired" na hii ni applicable to Dunia nzima,kama ulitimiza nusu ya mahudhurio ya ile elimu yako ya QT(Form IV kwa miaka miwili) nafikiri utaelewa maana ya msemo huo.
  Infact Simba ndo wanatakiwa wadhibitiwe ksbb wanaharibu sana future za wachezaji, waliwasajili kina Lino Mosombo, Mussa Mude, Kanu Mbiyaanga,Danny Mrwanda na wengineo baada ya siku chache wakawaacha,sasa nasikia wanatamani sana wawaache kina Ochieng na Keita lkn muda taratibu na sheria zinawazuia.
   
 3. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jee mwenzangu umesoma gazeti au habari za yanga ?sasa tusubiri kuteremshwa daraja.
   
Loading...