Yanga kushney, kwaheri Tom!

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
yanga wamemfukuza kocha Tom, hivi kitendo cha yanga kufungwa 3 na mtibwa ndo mumfukuze kocha?.mbona alivyowapa kagame mlimfurahia sana.haya sasa Manji kaanza na Tom,atafuata twite na yondani ajiandae.
 
wamo katibu,msemaji, mtunza fedha bado manji tukiwafunga hiyo tarehe 3.10..
 
yanga wamemfukuza kocha Tom, hivi kitendo cha yanga kufungwa 3 na mtibwa ndo mumfukuze kocha?.mbona alivyowapa kagame mlimfurahia sana.haya sasa Manji kaanza na Tom,atafuata twite na yondani ajiandae.
Kwahiyo yanga = tom? na unamaanisha bila tom no yanga? How old are you?
 
wajiandae leo kipigo kingine kwa JKT hahahahahahaha ikifika tarehe 3 maandamano hatumtaki MWENYEKITI WA YANGA.Wazee wa Yanga mpo hapo?
 
Karibuni uwanja wa Taifa leo mshuhudie soka la hali ya juu,Yanga itabaki kuwa Yanga tu hata iweje
 
Karibuni uwanja wa Taifa leo mshuhudie soka la hali ya juu,Yanga itabaki kuwa Yanga tu hata iweje

soko kutoka kwa yanga, timu ya mashoga kocha kasema ukweli mmemtimua..uliona wapi madume 3 yana lala kitanda kimoja
 
mwalimu wako alipata shida sana kukuelekeza,sijui kama cheti chako cha form 4 kina hata division 4.

Yawezekana uyasemayo yakawa kweli au sio kweli... baada ya matusi rudi kwenye hoja jibu swali langu...narudia...Kwahiyo yanga = tom? na unamaanisha bila tom no yanga? How old are you?
 
Mwendelezo wa kiwewe cha 5-0! Kibao sasa kitawageukia akina Barthez na Yondani.
 
Back
Top Bottom