Nani anatakiwa kushiriki SHIMIWI?

Mapozeo

New Member
Sep 21, 2012
4
0
Salaam kwenu wana JF. Kuna hili shirikisho la michezo la wizara kwa kifupi SHIMIWI ambayo mashindano ya michezo kutoka katika wizara mbalimbali za serikali yanategemea kufunguliwa rasmi hapo kesho mjini Morogoro mgeni rasmi akiwa Waziri wa habari utamaduni na michezo. Chakushangaza sana, 98% ya washiriki wa mashindano hayo ni watumishi wakada ya chini wakiwemo wahudumu wa ofisi, messengers, madreva, walinzi na vibarua wa muda mfupi. Nijuavyo mimi, kushiriki michezo ni moja wapo ya kuuweka mwili wako fit na kukwepa matatizo mbali mbali hasa ya kiafya. Sasa kwa nini washiriki wa kada ya juu wakiwemo mawaziri, wakurugenzi na makamishina wasishiriki hata kama ni michezo michache tu? Ingekuwa ni USA tungetegemea watu wazito kama hao angalau wachache wao wakishiriki. Nasikia hata hao 2% ya washiriki waliokanyaga vidato baadhi ya Wizara kama vile mambo ya ndani na nyinginezo wanawalipa posho ya chini yaani 45,000/= sawa na ya hilo kundi la kwanza kama vile wasomi hawatakiwi kushiriki na wakishiriki wajishushe vidato. Sababu waliyopewa na viongozi ni eti pesa hazitoshi na wanaweka akiba kwa ajili ya michezo ya Mei Mosi. Kwangu mimi hii haiingii akilini kabisa. Kama kuna kuna mwana JF mwenye uelewa wa SHIMIWI please, nieleweshe!!
 
Sifa za ushiriki shimiwi
1.uwe mwanamke mwenye m.a.ta.ko makubwa
2.mwepesi kukubaki kutoa ngono
3.usipende mamvo ya kutimia condom
4.uwe tayari kuhonga kamati inauokupendekesha ushiriki aidha pesa au ngono
 
Yaani hao washiriki wakiona post yako watakuloga ugeuke mpira wa rugby! Shimiwi is a big business, a serious person hawezi kupata chance ya kushiriki. Ina majungu kuliko uchaguzi wa Yanga. Pole kwa kukosa chance kaka
 
JF is never boring sosi TB maana mtu wakikuudhi tu unaanzisha uzi kupunguza machungu..

JF iendelee milele..
 
Hiyo ya makario na wanaume wataonyesha nini?
 
Yaani hao washiriki wakiona post yako watakuloga ugeuke mpira wa rugby! Shimiwi is a big business, a serious person hawezi kupata chance ya kushiriki. Ina majungu kuliko uchaguzi wa Yanga. Pole kwa kukosa chance kaka
Nafkri wengine wataifurahia hasa wale waliopata mshiko chini ya kiwango chao.
 
JF is never boring sosi TB maana mtu wakikuudhi tu unaanzisha uzi kupunguza machungu..

JF iendelee milele..
Si swala la kupunguza machungu, ni swala la kutaka uelewa zaidi maana nina imani kuna wana JF wanaoelewa A-Z yake.
 
Back
Top Bottom