Yanga wamemfukuza kocha

Yanga wamemfukuza kocha

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Yanga wamemtimua kocha mkuu tom baada ya kuwafokea wachezaji wake kuwa wanajirembâ
 
mxiii ndo maana hatutapata mafanikio kamwe, kocha akiwabana wachezaji basi uongozi hautaki haijaanza leo toka enzi za Tambwe Leya aliwapigisha mazoezi wachezaji wakatenguka ma ankle wakaanza majungu Yanga wakaona tambwe hafai, sasa huyui kocha makini ambaye hatafuni maneno, aisee Simba funga Yanga bao kumi tukome huu ujinga wa kulemba lemba. sasa walitaka kocha asifie tuu kiwango kidogo cha wachezaji mxiii Yanga HOVYOOOOO hata km ni timu yangu
 
Back
Top Bottom