Yanga chali,Simba kidedea. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga chali,Simba kidedea.

Discussion in 'Sports' started by EGPTIAN, Apr 18, 2012.

 1. E

  EGPTIAN Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Timu ya Yanga imeendelea kuboronga kwenye ligi kuu baada ya leo kukubali kulala kwa goli moja mbele ya Kagera Sugar.Pia ndani ya uongozi wa Yanga kumeibuka sintofaham kutokana na vipigo vinavyoendelea.Wakati huohuo Yanga imehusishwa na rushwa baada ya kutaka kuihonga timu ya Toto ili iweze kushinda.Toto waligoma kupokea donge hilo la milioni 14 kutokana na hali waliyonayo ambapo walikuwa wanahatihati ya kushuka daraja hivyo Toto kujututumua na kuwachapa Yanga wakishirikia na wapenzi wa Simba. Kuhusu kashfa ya Yanga kutaka kuwahonga toto nimezipata kutoka kwa mtu wandani wa toto africa ya Mza.
  Wakati Yanga ikipoteza uelekeo Simba imezidi kujichimbia kileleni na kuanza kusikia harufu ya ubingwa baada ya Simba kuinyuka JKT-Ruvu 3-0.
   
Loading...