MAXIMO AKUTANA Na RAISI J.M KIKWETE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAXIMO AKUTANA Na RAISI J.M KIKWETE

Discussion in 'Sports' started by TONGONI, Apr 17, 2012.

 1. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Akiwa ziarini nchini Brazil Rais J.M Kikwete amekutana na aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania.Marcio Maximo.

  Maximo alichukua fursa hiyo kwa kushauri vilabu vya soka Tanzania lazima vianze maandalizi kuanzia ngazi ya chini kuanzia umri wa miaka minane na kuendelea ili kupata wanasoka na timu bora.
  Pia alimshukuru Raisi kwa ushirikiana aliompa kwa muda wote alikuwa nchini kama kocha wa Timu ya Taifa.
  Kwa upande wake Raisi alimshukuru Maximo kwa kuwa uwepo wake Tanzania ulisaidia kuiweka nchi katika ramani ya mchezo huo.

  Wakati huo huo Maximo amekanusha uvumi ulizaga kuwa huenda akarudi Tanzania kuja kuzifundisha kati ya Timu za Azam au Yanga na kusema kuwa hajafanya mazungumzo na vilabu hivyo na kwa sasa ana mkataba na Timu ya Demokrata ya nchini Brazil
  .

  Maximo akisalimiana na mheshimiwa Rais J.M Kikwete.jpg

  Akisalimiana na Mama Salma Kikwete.jpg

  Akikabidhi Jezi ya Timu anayofundisha kwa sasa.jpg
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  badala ya kujiuliza na kuona inakuaje brazil waweze kuuza sukari mpaka tanzania kwa bei ya chini yeye anamtafuta maximo
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  The president we chose and now we have
   
 4. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unajua tunaweza kwenda mbali na kufikiria juu ya masuala ya 'strategies', sera, mikakati nk juu ya mikutano kama hii lakini mwishowe sio ajabu unakuta hakuna lolote bali target kubwa za wawakilishi wetu ni mambo haya haya!
  Anaendelea kuweka rekodi na najua itachukua miaka mingi Mtanzania mwingine kuifikia
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Jk tena usikute alimfuata hadi nyumbani.
   
 6. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hapo pengine alimwomba kumtafutia watoto sura kama JLO,au Shakira,na kuhudhuria tamasha dogo la samba
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Huyu rais kweli ni noumer
   
Loading...