Simba vs JKT Ruvu

Simba vs JKT Ruvu

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mpira una endalea Simba 1 na JKT Ruvu 0...

========
Simba 3 na JKT Ruvu 0
Kagera Sugar 1 na Yanga 0
Coatal 1 na Polisi 0
Toto 2 na African Lyno 0
 
Leo tukishinda basi adui wetu ata baki Azam FC..
 
Heshima yako mkuu Crashwise asante kwa updates kwa kweli nimefurahi mnyama kuongoza mpaka sasa
 
Heshima yako mkuu Crashwise asante kwa updates kwa kweli nimefurahi mnyama kuongoza mpaka sasa
Mkuu hawa jamaa mwaka jana ndiyo walio tunyima ubingwa na ilikuwa mechi za mwisho wisho hivi tuka toka sare ya 2-2 huku wachezaji wao wawili wakipewa kadi nyekundu....
 
Mkuu hawa jamaa mwaka jana ndiyo walio tunyima ubingwa na ilikuwa mechi za mwisho wisho hivi tuka toka sare ya 2-2 huku wachezaji wao wawili wakipewa kadi nyekundu....
Yes nakumbuka mkuu huku yebo yebo wakiachiwa na wototo wao magoli mengi na kuchukua ubingwa haki ya Mungu iliniuma sana mwaka huu tusifanye uppuzi kama ule
 
Jamani kuna radio inatangaza, mnifahamishe
 
he he adui mwombee njaa kuna uwezekano yanga akapoteza mechi zote zilizobaki

Binafsi kama nitashinda mechi ya leo sina haja tena kumtakia yanga mabaya labda Azam FC...
 
Back
Top Bottom