CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
kwa tetesi nilizozipata hivi punde,ile rufaa ya yanga ya kupinga kupokwa point3 imepigwa chini leo na kamati ya rufaa ya tff chini ya kamanda Tibaigana,ikiwa na maana kwamba yale maamuzi ya kupokwa point3 yanabaki palepale.