Kuelekea chelsea vs barcelona messi akwaruzana na kocha wake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea chelsea vs barcelona messi akwaruzana na kocha wake.

Discussion in 'Sports' started by Kaka mwisho, Apr 18, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Yaliyomtokea ronadinho na rijkard ya elekea kumkuta messi na kocha wake. STARTIMES WANAONESHA KUPITIA KITUO GANI?
   
 2. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  choo cha kike
   
 3. d

  dandabo JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  mkuu hujaeleweka! Tuambie Messi na Gardiola wametimuana kivipi?
   
 4. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haina ubishi chelsea anashinda. NI KITUO CHA KBC
   
 5. d

  dandabo JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Mkuu nawatakia kila la heri ila muwe makini na ulinzi wa golini, siamini kama Terry ataweza kasi ya messi!
   
 6. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Wewe utakuwa sawa na mkulo. Badala ya kuwa bungeni yupo Dc. Wewe badala ya kupeleka hii kitu isiyoeleweka jukwaa la michezo unaleta humu. Acha ubabaishaji kama ccm bana
   
 7. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mwana wewe ni muimbaji wa taarab nini maana upo kama jike vile.
   
 8. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Akili yako imeishia hapo? Why not dume. Too myopic
   
 9. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  No wonder we ni chakula kama jina lako na ubongo wako utakuwa umenenepa kama your obese dady
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,340
  Likes Received: 2,981
  Trophy Points: 280
  Chealsea huenda ikafanya vzr leo hii,lakini mkuu jukwaa husika lipo.
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Nadhani hata ATN wataonesha maana jana walionesha game ya Madrid na Munchen
   
 12. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  chelsea ni chama cha siasa ktk nchi gani? na huyo messi nae ni mroho wa madaraka? au ni msema ukweli? aendelee kupambana kama vp ajivue gamba tu, au ahamie chadema mazima, pipooooz ....
   
 13. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata huku spots full siasa!
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Tupe mambo yalivyokuwa kwa huyu gwiji na kocha wake!

  Maana Mi naona hii hbr yako iko short sana Kiongozi!
   
Loading...