Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,832
- 13,798
Kwa hali inaavyoonekana baada ya ushindi wa kishindo, kwa mara nyingine tena timu mbili za Barca na Real M zitaendelea kushinda na kutawala La Liga,hivyo kupunguza mvuto maana haina ushindanizaidi ya hao wawili tofauti na EPL ambako kuna mtifuano mpaka mwisho wa ligi.Ngoja tusubirri tuone.