Kwanini Ligi Kuu Hairushwi Luningani

Kwanini Ligi Kuu Hairushwi Luningani

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Ligi za zambia, kenya, ghana, nigeria zote zinarushwa na jamaa wa super sport.Hapa kwetu tatizo ni nini?
 
Mkianza kutazama mechi majumbani kwenu TIPU za wazamiaji milangoni na waruka ukuta zitapakanaje?
 
SuperSport hawajawapa udhamini kama nchi ulizotaja.Kwa sababu hapa kwetu mfumo wa ligi unaendeshwa na chama za soka TFF badala ya kutumia kampuni,kama kwa nchi zingine zinavyofanya!!
 
Tatizo ni Viongozi wa hili soka letu la bongo,kuanzia TFF wenyewe mpaka wa Club...wanaona wakitengeneza mipango ya Ligi kuonyeshwa kwenye runinga watu wengi hawatakwenda viwanjani kwahiyo watakosa mapato.
 
Back
Top Bottom