Yanga imekabidhiwa kwa Baraza la Wazee katika kile kinachoelekea kuwa Mapinduzi Baridi kufuatia mwenendo mbaya wa TIMU hiyo.
Hili la viongozi wawili wa yanga kuwekwa rehani kwenye hotel walio fikia yanga ni kweli...lakini watani jiandaeni kichapo tarehe 5-5-12Wazee wanalalamika kupokwa Ubingwa na kitendo cha baadhi ya viongozi wa Yanga kuwekwa dhamana baada ya kushindwa kulipa gharama za malazi na chakula huko Arusha.
Tuambiane black and white sasa... Wale wazee wa vibalaghashia ndo sababu migogoro yote Simba na YangaHao wazee wa Yanga ni wajinga sana kwanza hawana hela za kuendeshea club halafu wanang'ang'ania timu.
Hawana lolote zaidi ya kuamini katika ushirikina hasa wakiifunga Simba.
Hao wazee wa Yanga ni wajinga sana kwanza hawana hela za kuendeshea club halafu wanang'ang'ania timu.
Hawana lolote zaidi ya kuamini katika ushirikina hasa wakiifunga Simba.
Soka ya Tz haiwezi kuendelea kwa mikakati ya hovyo hovyo kama hii. Hao wazee wana utaalamu wa kuendesha soka? Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nakerwa sana na jinsi timu hii inavyoendesha mambo yake.