SWALI:Mpira ukirushwa na mchezaji akiwa nje ya uwanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SWALI:Mpira ukirushwa na mchezaji akiwa nje ya uwanja

Discussion in 'Sports' started by Ruhazwe JR, Apr 28, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wana bodi,naomba kufahamishwa sheria za mpira wa mguu zinasemaje iwapo mchezaji atarusha mpira akiwa nje ya uwanja moja kwa moja hadi kwenye lango la mpinzani wake na ukaingia je litahesabika kama goli au?
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ni goli.. mpira ukirushwa tayari ushaanza kuchezwa iwe umeguswa au hujaguswa. unakumbuka kaseja alishafunga goli kati ya simba na kagera sugar ila yye aliupiga toka goli hadi bila kuguswa na refa akaweka mpira kati
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kama hautaguswa na mchezaji yoyote halitahesabika kuwa goli....
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  itabidi nipitie tena sheria za soka mimi najua kama ulivyoeleza hapo juu...sasa wewe unachanganya mambo unafananisha na mpira uliopigwa na kipa na kwa kukusahihisha kaseja alifunga goli hilo kwenye mechi iliyo chezwa kwenye uwanja wa CCM kirumba kati kati ya Toto African na Simba...
   
 5. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mfano wako hauendan na matakwa ya swal, kaseja alitumia mguu kupiga mpira, hapa swali ni mpira wa kurusha (kwa mikono) unakwenda direct golini, je litakuwa goli au sio goli kwa kigezo cha mkono kutumika kufunga goli? majibu tafadhali...
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280

  Law 15 - The Throw-in
  A throw-in is a method of restarting play.
  A throw-n is awarded to the opponents of the player who last touched the ball when the whole of the ball across the touche line., either on the ground or in the air.
  A goal cannot be scored directly from a throw-in.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimeweka sheria za soka hapo juu ni kweli mkuu alichemka hana tofauti na kamati ya TFF inao wanyang'a Mtibwa pointi huku ikisema mwenye makosa nirefa na kumfungia kuchezesha soka...
   
 8. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ntarudi
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kama refa alinyoosha kono juu wakati mpira unapigwa hautakuwa ni gori hadi uguswe

  lakini kama utakuwa ni mpira wa kurushwa nao pia ni lazima uguswe na mtu la sivyo si gori

  nikupe mfano mdogo tu

  kama mtu atarusha mpira akiwa nje ya uwanja na mpira huo usiweze kuingia uwanjani bila kugoswa basi yule yule aliyerusha mpira huo atarusha tena,kwani haujaguswa na umerushwa nje ya uwanja,
   
 10. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tena hilo ni kosa La JINAI:
   
 11. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashukuruni sana kwa mlio changi kunielimisha na ili kuondo utata,lakini kama kuna majibu ya ziada karibuni
   
 12. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  sihitaji ku-cite kipande chochote cha sheria za soka!natumia ubongo kufikiri!magoli ya mpira wa miguu hayatafungwa yakakubalika kuwa goli kisheria na kiungo kinachoitwa mkono WHATSOEVER!
   
 13. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  swali zuri sana
   
 14. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani kuna mtaalamu juu hapo mbona ameziattach sheria, tuzisome vizuri,..ila kwa ufupi mpira uliorushwa na kuingia golini mmoja kwa mmoja sio goli,labda kama utakuwa ulikuguswa na mchezaji yeyote..

  Pia ni goli na si gori
   
 15. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  kama akirusha mchezaji wa Azam litahesabiwa goli halafu baadae refa atakuja kuadhibiwa!!!!!
   
Loading...