Wigan Vs New Castle | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wigan Vs New Castle

Discussion in 'Sports' started by Al Zagawi, Apr 28, 2012.

 1. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,718
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Natazama hii game, mpaka sasa ni Wigan 4 na NewCastle 0....Half time

  Nashangaa kitu kimoja..hivi hii inamaanisha premier league ni ligi bora kwa maana ya ushindani na kwa hivyo matokeo yasiyotarajiwa week in week out au ni ubovu wa ligi ambapo timu ya nne kutoka juu(NewCastle) inafanyiwa kitu mbaya na timu ya tano kutoka mwisho????

  Kumbuka Wigan hawa ndani ya kama wiki tatu hivi wamewagonga Man U, Arsenal, Liverpool na wakafungwa na Chelsea kwa uzembe wa marefa kiasi ilibidi head of referees amuombe radhi kocha wa wigan, Martinez kwa makosa ya refa/linesmen ambayo yaliigharimu Wigan point moja(au tatu?)

  Mawazo tafadhali.........
   
Loading...