Wakuu muu hali gani? Hivi yule mchambuzi machachari wa soka hapa Tz aliyekuwa akitumiwa sana na channel 10 ktk michuano hasa ya UEFA alienda wapi maana sijamwona wala kumsikia siku za karibu yuko...
Sijui ni mimi peke yangu ninaeshangaa
inakuwaje club kubwa kama simba na yanga
unakuta wachezaji wanatibiwa mwananyama hospitali
wanaishi keko ....
na wengine wa kutoka nje wanaishi mahoteli ya...
Wao wanacho waza ni kukata umeme kila mechi pendwa zinapocheza. Matengenezo gani ya usiku tena siku ya mechi chama kubwa chelsea....????.
Niwalambe nisiwalambe?
Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifanya fujo klabuni hapo kupinga mkutano wa waandishi wa habari uliokuwa ufanywe na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Loyd Nchunga leo mchana ambapo polisi...
2011/2012 has bin 1 of the most topsy turvy season i hav bin witness. Being an Arsenal fan is nt easy. It is an extremely hard choice 2 make and certainly nt one 4 the faint hearted while we had 2...
Inawezekana kuna watu hawajajua bado kuwa hakuna hata klabu moja ya Sudan iliyowahi kupata ushindi kwa Simba. Kama nimekosea, aje mtu anisahihishe hapa. Hata mwaka ule El-Mereikh walipovunja...
Kim Poulsen kachuguliwa kuwa kocha Mkuu wa Taifa Stars kuanzia leo bila taratibu kufuatwa. Hili ni jinamizi linalotumaliza katika nchi yetu.
Tenda ya kutafuta kocha mpya mbona haijatangazwa then...
Niliahidi kuwaletea tathmini ya fainali tatu kali zaidi nilizowahi kuzishuhudia live za UCL kabla ya fainali ya mwaka huu May 19. Hapa naziandika kwa kifupi mno na pia kama kawaida sijazipanga kwa...
Waandishi wa habari za michezo wa bongo ni kikwazo kimojawapo cha maendeleo ya michezo Tz.Ingawa siukubali utawala wa nchunga,nimeshanga wanavotoa airtime kwa ajili ya mipasho ya wazee wa...
Umefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang ,na hawakuipenda yanga kwa...
NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA NDUGU ZANGU MNAOKULA KIYOYOZI PALE KARUME(TFF) KWAMBA MASHABIKI TUMECHOKA SOKA LA KUSIMULIWA NA KINA BWIGANE REDIONI TOKEA ENZI NA ENZI!! UMAARUFU WA LIGI HUPATIKANA KWA...
nauliza je CHELSEA watapata kucheza uefa hata kama hawatachukua kombe? yaani na maanisha finalist anaweza kucheza uefa atakama aja shika nafasi nzuri kwenye ligi yake
Kama kuna kitu kimeniuma ni matokeo waliyovuna Yanga katika mechi ya leo dhidi ya Simba,hivi kweli huyu anayeitwa Loyd Nchunga huko alipo anajisikiaje baada ya timu chini ya uongozi wake kutia...
With today's hat-trick+ (4 goals in match vs Espanyol), Leo Messi adds 50 goals in "personal account". With 50 goals against 45 of Cristian Ronaldo, with only on game to play, likely Messi will be...
Ni lazima moja kati ya yafuatayo yatokee:
Aishinde FC Bayern München ikiwa nyumbani na kutwaa kombe, au
Iishinde Liverpool ugenini na Blackburn nyumbani kwa jumla ya magoli yasiyopungua manne; na...
Wadau wenzangu wa Club naombeni maoni yenu kuhusu mechi tajwa hapo juu.
Kwani Mi binafsi ninaweza kusema ya kwmb mechi itakuwa nzuri sana,ila natarajia Liverpool Fc kuibuka washindi na si chini...
...for football fans of a certain age, the Senegalese maestro Jules Bocande has passed away at the age of 53. He was briefly a Senegalese coach in 90s.
RIP Bocande!