Yanga vurugu tupu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga vurugu tupu!!

Discussion in 'Sports' started by Kiganyi, May 11, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [​IMG]
  Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifanya fujo klabuni hapo kupinga mkutano wa waandishi wa habari uliokuwa ufanywe na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Loyd Nchunga leo mchana ambapo polisi walifika klabuni hapo na kuimarisha ulinzi hadi Fullshangweblog inaondoka klabuni hapo bado kulikuwa na kundi la wanachama na kila moja akiongea la kwake na mkutano ulikuwa bado kufanyika.  Kutoka Fullshangwe
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena! pamesha kuwa Libya.?
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  hawa jamaa hawapendeki, kama ccm tu , ngoja nigeukie azam , timu ya kizazi kipya
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  simba na yanga zinaharibu mpira wa tanzania
   
 5. S

  Skype JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mimi ni mshabiki wa simba ila naungana na wewe kwa 100% kua simba na yanga wanaharibu soka hapa tz. Siyo wao tu hata Tbl inahusika ktk kuua soka ka bongo kwa sababu haiwezekani ligi kuu iwe na timu zaidi ya 10 lakn wao wanadhamini timu 2 tu! Kwa nini? Soka la bongo halina maana kabisa.
   
 6. ruaaika

  ruaaika Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nanyi Uyanga na Usimba ndo watupeleka kubaya kisoka, lakini nadhani suala la udhamini wa timu ni mbinu za uongozi wa club husika, mdhamini wa ligi ndo analazimika kuhusika na timu zote zinazoshiriki ligi husika, na ndivyo ilivyo Dunia nzima.
   
 7. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ya kukosa ubingwa na kufungwa na watani
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  Jioni wanapeleka kitoweo nyumbani kweli?
  Watanzania wengi wana mda wa kupoteza.
   
Loading...