Juventus bingwaaaaaa seria a

Juventus bingwaaaaaa seria a

JATELO1

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,230
Reaction score
304
Hatimaye juventus imefanikiwa kuwa bingwa wa italia leo usiku baada ya kuifunga cagliari 2-0, wkt huo ac millan wakifungwa 4-2 na inter millan.
 
Hatimaye juventus imefanikiwa kuwa bingwa wa italia leo usiku baada ya kuifunga cagliari 2-0, wkt huo ac millan wakifungwa 4-2 na inter millan.

Asante kwa Ripoti.
uongozi wa JF unakushauri uifute hii thread yako kutokana na msongamano wa wigo wa kiutendaji hasa ktk nyanja ya mawasiliano ya ndani.
Kumekuwa na usumbufu mkubwa unaojitokeza kutokana na wingi wa Thread hivyo kufanya mawasiliano ya kiutendaji na uwekaji sawa wa majukwaa kuwa mgumu.
 
Back
Top Bottom