Tunataka ligi kuu bara live msimu ujao!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka ligi kuu bara live msimu ujao!!!!!

Discussion in 'Sports' started by Beso, May 10, 2012.

 1. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA NDUGU ZANGU MNAOKULA KIYOYOZI PALE KARUME(TFF) KWAMBA MASHABIKI TUMECHOKA SOKA LA KUSIMULIWA NA KINA BWIGANE REDIONI TOKEA ENZI NA ENZI!! UMAARUFU WA LIGI HUPATIKANA KWA KIASI KIKUBWA KUTOKANA NA MATANGAZO YA LUNINGA,NA HAPO NDOPO MTAZOA MIKATABA YA KUELEWEKA KAMA HAMUAMINI OMBENI USHAURI PALE EPL!!!!

  SISI WA HUKU KAKUNYU BUKOBA TUTAIPENDA LIGI NA KUISAPOTI IWAPO TUTAONA KINACHOENDELEA UWANJANI HATA KAMA MATANGAZO YA REDIO BADO MUHIMU.
  NINA IMANI TFF MNAPITA HUMU TUPENI MKAKATI WENU WA MSIMU UJAO SIO KUKENUA TU NA MKATABA WA TBL MLIOPATA JUZI!!!!!!

  NAWASILISHA.:second:
   
Loading...