CHIEF MVUNGI
Member
- Apr 6, 2012
- 99
- 15
nauliza je CHELSEA watapata kucheza uefa hata kama hawatachukua kombe? yaani na maanisha finalist anaweza kucheza uefa atakama aja shika nafasi nzuri kwenye ligi yake
Hakuna uwezekano huo hata chembe. Kuingia fainali ni suala moja na kuchukua kombe ni suala jingine. Kwa mujibu wa taratibu za UEFA zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2006 liverpool walipokuwa club bingwa ya ulaya na wakati uleule wakishindwa kufuzu kwa michezo hiyo kwa mwaka 2006/2007. Kwa ujumla mabingwa wanaoshindwa kufuzu kwa michezo ya mwaka unaofuata ndio wanaopewa nafasi ya kushiriki.