YEBO YEBO YANGA: Mapovu ya nini sasa? 5 tu

YEBO YEBO YANGA: Mapovu ya nini sasa? 5 tu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,683
.............................. ..........................
[video=youtube_share;q_-jhVfPlZI]http://youtu.be/q_-jhVfPlZI[/video]
 
mi si mshabiki ya mpira wa kibongo ila .... jamaa hana clue yoyote kuhusu soccer!!! refa sometimes kukiwa na foul anaweza akaendelea kuchezesha advantage! kwa kuonesha isharqa ya mikono yake miwili .... na pia anadai eti! goli tano yanga sio ya kufungwa goli tano...!!! Arsenal tulichezea goli 8!! .. yanga ndio nani asipigwe tano! wajipange yanga!
 
Wadau wa hapa juu (ukimtoa Mwali,aliyemjibu mtoa hoja wa 1) hata sijawaelewa, inawezekana hata humu kuna watumiaji wa yale majani ya kina Boban,nimeanza kuona dalili.
 
Majaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,temba hapa!
 
Back
Top Bottom