Another Hat-trick for Messi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Another Hat-trick for Messi

Discussion in 'Sports' started by MAMMAMIA, May 5, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  With today's hat-trick+ (4 goals in match vs Espanyol), Leo Messi adds 50 goals in "personal account". With 50 goals against 45 of Cristian Ronaldo, with only on game to play, likely Messi will be the best scorer of the La Liga.
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Huyu Mtoto HAKUNAGA.
   
 3. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Messi ni habari nyingine, hata wapinzani wake inabidi wawe wapole tu... Hii itakuwa ya kumi kwake ktk mashindano yote kwa msimu huu.
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Messi ni kama mkia wa mbuzi, haustiri uchi wala haufukuzi Nzi...
   
 5. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Una maanisha messi useless...au nimekuelewa vibaya
   
 6. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ungetulia kidogo ungenielewa...
  Ila hata hapo ulipofikia hongera pia.
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kuwa mimi ni mpenzi wa Real, sioni sababu ya kutompongeza huyu kijana. Kila mwaka anavuja rekodi yake mwenyewe.
   
 8. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  co best scorer wa la liga ni ulaya nzima tena na nadhani itakua ni duniani kiujumla coz dogo ana goli 72 kwa msimu wote. C mchezo
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  I real love this guy coz anakosa wa kumshindanisha ila tunalazimisha tu kumshindanisha
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi Mkuu! Kwa wakati huu hakuna wa kumlinganisha na Messi. Pamoja na umahiri wake, hana kiburi, majivuno au tabia ya kujionesha kama CR7 au Eto'o alipokuwa anang'ara kwa mfano.
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  kuna siku niliwahi kuuliza...hivi wakati ule marefa wapo kina Mr Nilsen, Andrea Frings, Mr Marcus na kamanda Gigi Corina mbona hii timu ya Barcelona ilikuwa kama Kariakoo Lindi au mji Mpwapwa?

  Basi Kuna mdau hapa akanijibu na kuniambia kuwa marefa wale walikuwa hawahofii halaiki ya washabiki na pia walikuwa hawaogopi umaarufu wa mchezaji.
  Pia hawakuruhusu kinachosemekana kuitwa Rushwa wala Bakshishi.

  Kisha mwengine akamalizia kwa kusema kipindi cha Rais wa UEFA alipokuwa Lenart Johanson hakukuwa na timu kubwa ilioitwa Barcelona.
  Yaani kwa kipindi kicho Barca walikuwa kama Macabi Haifa au Genk ya ubelgiji.

  Swali ni je nini kilitokea baada ya Platini kuwa Rais wa UEFA?
   
Loading...