Kim Poulsen kachuguliwa kuwa kocha Mkuu wa Taifa Stars kuanzia leo bila taratibu kufuatwa why???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kim Poulsen kachuguliwa kuwa kocha Mkuu wa Taifa Stars kuanzia leo bila taratibu kufuatwa why????

Discussion in 'Sports' started by mzee wa njaa, May 12, 2012.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kim Poulsen kachuguliwa kuwa kocha Mkuu wa Taifa Stars kuanzia leo bila taratibu kufuatwa. Hili ni jinamizi linalotumaliza katika nchi yetu.

  Tenda ya kutafuta kocha mpya mbona haijatangazwa then Rais Tenga anakuja kutangazia Umma eti wamempa shavu Kim Poulsen why?? Je, katiba ya TFF inaruhusu Uozo huo au?

  Kwanini wasingeweka wazi hatua ya kumpata kocha mpya hali ingepelekea wazawa nao wapate nafasi ya kugombania nafasi hiyo.

  Kwa hili Watanzania hatujatendewa haki kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa...
   
 2. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #2
  May 12, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Acha tu hao wazungu waendelee na hiyo kazi, wazawa walishakuwa na hiyo timu miaka mingi tu hamna lolote, hebu nae amalize mwaka mmoja huo, ndio tutaangalia katufikisha wapi. Hata hivyo nadhani Katiba ya TFF kuna sehemu inaruhusu, asingekurupuka tu.
   
Loading...