Katika umri wangu huu sitaki kuamini kuwa wapo watu walichagua kuwa fans wa team fulani ksbb ya rangi,rangi na ushabiki wa team haziingiliani kabisa kwani wapo watu wanashabikia team pasipo hata kuwa na uhakika inavaa rangi gani,mfano mimi kwa team za nje nashabikia Arsenal lkn hata ukiniuliza uzi wao wa away ni upi hata siujui lkn ni Mshabiki mkubwa sana wa hao The Gunners,kwahiyo bwana "Yahoo" achana na mawazo mgando ya ku'mix vitu, jezi ya Yanga ni nyingine na mavazi ya Chama cha Siasa ni mengine,ungeona Yanga wametinga katika mechi fulani na uzi ulioandikwa Chama Cha Mapinduzi hoja yako hii ingekuwa na point tofauti na hapo it's a non sense.
Halafu nataka kukuambia Yanga imepoteza mvuto siyo ksbb wanavaa kijani na njano ya Chama cha siasa kilichopoteza mvuto bali ni ksbb wanavuna matokeo mabovu katika mechi zake,ukiangalia Yanga hiihii ya kijani na njano ndo ilikuwa inajaza uwanja kipindi kile inatoa dozi kwa Red Sea,Bunamwaya na Simba kwenye Kagame na ni hiihii ndani ya jezi zilezile inayoingiza mashabiki wachache kiasi cha kuweza kuwahesabu kwenye mechi za hivi karibuni,hivi mimi niende kiwanjani kuiangalia Yanga inacheza nakaa roho juu dk 90 kusubiri goli la juhudi binafsi za Kiiza la dk ya 91 katika mechi dhidi ya Villa unategemea mechi inayofuata nitakwenda,au nakwenda uwanjani nashuhudia inapigwa 5-0 niende mechi inayofuata kutafuta nini? sina sehemu nyingine ninapoweza kwenda kupata entertinement?
Kwahiyo bwana siku nyingine kabla hujaleta hoja jaribu kwanza kutafakari hoja yako ni ya kichwani au ni ya mat***ni.
Ni haya tu.