..Simba na mikakati yao... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

..Simba na mikakati yao...

Discussion in 'Sports' started by Kipaji Halisi, May 31, 2012.

 1. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ...Simba Sc...iliyokuwa chini ya mbunge wa Tabora Mjini...Aden Rage..imekuwa na Mipango mingi sana toka waingie madarakani...mipango hiyo... mabayo mingi iliwekwa Hadharani...naikumbuka michache mabayo kama inafanyika /itafanyika..ingawa cjui kama tayari wameanza...

  >>>1.. Simba Sc kuwa na Uwanja wao wa kisasa...kumbuka hadi muahandisi alitajwa...na ramani zikawekwa..ila picha wala namba ya kiwanja bado siri...ingawa tuliambiwa kiko Boko.....

  >>>2...Simba Sc kufungua TV...kwa wale waliokuwa uwanja wa taifa siku simba inacheza Setif tuliona simba Tv..na pia kulikuwa na matangazo (promo)..clouds Tv...na walifanya uzinduzi...ila mpaka sasa Kimya...

  ..Najiuliza hivi hii Simba Tv ina vifaa vyake?..je ina crew Team ya kufanya hizo Program?...kwanini wamesimama..vipi mdhamini wao Kilimanjaro bia...wameshindwa kudhamini hiyo Tv....

  ..Nawasilisha...nasubiri maoni yenu ..mipango imefikia wapi?...
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dah ni mipango mizuri sana,lkn kwa ujumla kwa jinsi viongozi wa Soka hili la Tanzania walivyo hakuna kitu hata kimoja kitakachokamilika katika mipango hiyo,hizo ni blah-blah tu za Viongozi wa Mnyama lkn hakuna kitu hapo.
   
Loading...