'Nitaondoka uwanjani endapo vitendo vya ubaguzi wa rangi vitaoneshwa'-BAROTELI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Nitaondoka uwanjani endapo vitendo vya ubaguzi wa rangi vitaoneshwa'-BAROTELI

Discussion in 'Sports' started by Bajabiri, May 30, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mchezaji mweusi wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Man City,Mario BAroteli amesema ataondoka uwanjani endapo kutakua na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika michuano ijayo ya EURO,,,,ambayo itafanyika POLAND na Ukraine,
  sosi:bbc swahili on fb
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Kaka wazungu hawatuthamini katu!jiulize beckham ana mpira gani mpaka wamtukuze hivyo?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  coz ni mdhungu
   
 4. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  anasema ataua mtu kama akimtupia ndizi mtaani...ni kweli ubaguzi wa aina yeyote uwe wa rangi,dini nk hauvumiliki kwenye karne hii...
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  kwani kwa MUNGU tunanao nafasi sawa? Hawa wazungu?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Aiseee sie tunawalamba miguu wazungu huku tz wakati kwao huko wanatu-ignore kinomaaaaaaaaaa! Mie simfagiliii mzungu kabisa namuona kama nguruwe tu na sie ngoja tuanze kuwarushia miogo,baroteli usikonde na wewe tembea na muhogo wakirusha ndizi na wewe unawarushia mihogo!
   
 7. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh!!! Mario B anaweza maana hajatulia
   
Loading...