Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

katika hali ya kuwasuta mahasidi, Mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu ambaye anaweza kufunga magoli ya aina zote na yenye ladha Super Mario Balotelli hapo jana aliweza kuisaidia klabu yake kipenzi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
kwa tusio Bongo wapi tunaweza kutazama hili game? Nipeni links. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars.
0 Reactions
240 Replies
21K Views
Mpira wa Makaratasi ongeleeni kumbukumbu yenu, Naanza kuazima kiatu cha kushoto cha njumu kimeandikwa Maradona na nyengine nakumbuka Belo alikuwa tunampanga akija na mpira wake ule wa vipele...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Jamani waungwana ina maana kagera hamna wana JF mbona hamtupi matokea au leo sio jumatano.
0 Reactions
157 Replies
12K Views
Eti samata anachezea kweli man u au bench
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Inatia huruma kwa mtani kwa mwendo kama huu wa kubahatisha ushindi na kudundwa siPati picha kama ataweza chomoa kwa wanakishamapanda wanaoiaga ligikuu kwa vyovyote vile hawatakubali kufungwa na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A group-by-group analysis of the 2014 World Cup qualifying competition in Africa after the mini-league second round reached the halfway mark this week. GROUP A South Africa were expected to...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
simba wanashambuliwa sana. Mimi naona simba waachane na hizi mbio za ubingwa wa tanzania bara. nitawapa matokeo ya mwisho. mia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo saa 5 usiku kwa saa za afrika mashariki mabingwa wa soka duniani na ulaya Spain watakuwa jijini Gijon ktk World cup qualifier vs Finland uwanja wa El Molinon,tarehe 26 machi Spain itakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukichunguza vizuri ratiba ya mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia kwa bara la Afrika utabaini mambo mawili.Mosi,hatua ya makundi ndiyo ngumu zaidi hasa kwa kuwa ni timu moja tu ndiyo itafuzu...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Tiger wöods hatmaye karudi number1 baada ya kashfa kbao alizozipata miez kadhaa
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku. Mimi ni mdau wa karibu wa jamvini na spotrs kwa ujumla.kwa muda sasa nimekuwa ughaibuni na kipindi niko huku nimeanza mpango wa kufanya mazoezi ya viungo...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
..Wanaojulikana kuwa waasi wa klabu ya Simba walijikusanya katka kikao chao kinachotafsiriwa kuwa cha harusi .... kwa watu wenye akili zao timamu wanakuwa na maswali mengi kutokana na mazimio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nikiangalia ligi kuu za ulaya na latin america, sijaona mtu mweusi mwenye kiwango cha kumpita sammata. hata huyo demba Ba hajafikia kiwango cha samata. sasa tufanye nini watanznaia wenzangu ili...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wadau taifa stars noma
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Najua hili ni jukwaa la siasa lakini hatuna budi kuipongeza Taifa Stars kwa ushindi ilioupata dhidi ya timu ya taifa ya Morocco (Tanzania 3 - 1 Morocco). Tukumbuke angalau huu ndo upande...
1 Reactions
105 Replies
8K Views
A moral boosting win for the Taifa stars keeps hopes of qualifying for the world cup alive. They sit second in the group just one point behind Ivory Coast. A man of the match performance from...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
March 22, 2013 Dar-es-Salaam, Tanzania. Mapokezi ya mwenyekiti wa Simba SC Aden Rage uwanja wa ndege DSM yageuka ulingo wa ngumi. Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC alikuwa anarejea toka India kwa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Hivi karibuni tumeona mechi zinazoihusu Azam FC zikioneshwa moja kwa moja na StarTV lakini ilipokuja mechi kati ya Azam na Yanga hatukuoneshwa moja kwa moja kwa nini? Sasa huu ni mkataba au ni...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom