Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

BREAKING NEWS: FIFA YAWARUDISHA MALINZI, WAMBURA KUGOMBEA TFF | .
0 Reactions
2 Replies
954 Views
CHELSEA leo usiku inaenda chukua tiketi yake rasmi ya kwenda kucheza final ya EUROPA LEAGUE jaman plz dont mic to watch.... chama kubwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo ikiwa ni mwisho kabisa wa kutupa Nanga yetu katika dimba la nou camp naamini na ninauhakika na nini kikosi bora duniani kinafanya kwani tumejiandaa kisaikolojia na kimkakati ku win match hii...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Urefu ,miili ya Bayern Munich bila kusahau Nguvu ya kimchezo vimewasaidia sana hawa vijana na kutoka na huu ushindi wa ajabu wa goli 7 bila,congratulates BM and ur coach Jup Hencles Sent from my...
0 Reactions
6 Replies
984 Views
Japo munich wameshinda magoli 4 ila ninaiamini timu yangu ya Barcelona kwamba itarudisha magoli yote m4 na nyongeza juu kama mnabisha mtaona.
3 Reactions
66 Replies
5K Views
shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanza upya mchakato wa uchaguzi baada ya kubaini kasoro iliyotokana na ukosefu wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Super Mario ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaambia wachezaji wa Real Madrid kama watawafunga na kuwatoa Dortmund kwenye UCL hapo kesho, atawapa demu wake wamsex...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesoma magazeti jana kuhusu matatizo aliyonayo Jela Mtagwa na nafasi aliyokuwa nayo katija jumuia ya michezi na jamii kwa ujumla enzi zake. Nampa pole sana kwa yanayomkuta. Ni maoni kuwa Bwana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kocha mkuu wa Azam FC washindi wa 2 wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Stewart Hall amewavulia kofia mabingwa wapya wa kusakata kabumbu nchini Tanzania kwa msimu wa 2012/13 Young Africans Sports...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mabingwa wanapasha uwanjani sasa
0 Reactions
162 Replies
16K Views
Ama unatafuta mpira wa pili?KATIKA HALI YA KUFEDHEHESHA MCHEZAJI WA BDORTMUND LEWONDOSKY ALIFURAHISHA WAANDISHI WA HABARI KABLA YA KUONDOKA KUKWEA PIPA KWENDA SPAIN AKASEMA NIWACHEKESHE LAKINI NI...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siamini kama kweli tumefungwa nyumbani 3, 0.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa Ngumi leo kuna pambano la kukata na shoka kwenye ukumbi wa PTA 77. Mashari ni kijana mtukutu anayeishi maeneo ya Tandale anajukumu zito la kufuta ngebe na tambo za muda mrefu...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
bayern kashamkojolea barc viwili
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Wakuu hii ni special kwa shabiki atakaye weza kutabiri mtanange huu kati ya barca na bayern kama tunavyojua ni leo 3:45 usiku. mpango mzma unakuwa hivi Taja idadi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo matumaini ya Barcelona kufika fainali ya kombe la Mabingwa wa Ulaya ni madogo sana. Lazima wafunge magoli matano bila majibu dhidi ya washindani wagumu waliokwishabeba ubingwa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ndo leo ni mwisho wa real madrid ndani ya uwanja wao wanachinjiwa baharini santiago bernabeo na BVB ndo hao wanatinga fainali Lendowsky atapiga nyavu kama kawaida ,leo madrid kajitahd sana ni...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Hali ya kiafya nakifedha aliyonayo jella mtagwa captain wa timu ya taifa kwa miaka zaidi 10. Na alikuwemo kwenye kikosi cha timu ya taifa kilichoshiriki fainali za mataifa huru ya africa mwaka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom