Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 168
Luhende,Kaseja,...... kukosekana kwa Samata na Ulimwengu japo kanuni haziruhusu wacheze,lack of plan B, na kumwacha Bocco acheze pekee mbele! Je ndo kimetupoteza kabisa!? Hivi Kale ka-TAHITI kakikutanishwa na Tz si katatufunga!!
Faida moja tu ambayo unaweza kuipata kwa kuishabikia Starz ni kama una Presha ya kushuka,nenda uwanjani ipande,na kama una presha ya kupanda sana nenda uwanjani ishuke kidogo...! Enewei, ila aliyetuita kichwa cha mwendawazimu hakukosea!!
TUNAJENGA TIMU LAKINI.!