Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

STK v AVL Fixture Saturday 6 April 2013 | Britannia Stadium | Kick-off 22:00 Stoke City manager Tony Pulis: “This league is relentless. It doesn’t curry favour with anyone. If you are not...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Leo ni leo kati ya mafahari wawili,Bayern Munich vs Juventus.Saa 10;45 usiku Ligi ya Mabingwa Robo fainali.
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Watu weng hubishana hasa katika ligi 3 yan EPL, LALIGA na BUNDERSLIGA, naomba tuweke bayana wadau!
0 Reactions
24 Replies
7K Views
West Bromwich_Albion Vs Arsenal_The Gunners Fixture Saturday 6 April 2013 | The Hawthorns | Kick-off 22:00 West Bromwich Albion head coach Steve Clarke: "They are going to make it...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Naam kama kawaida yetu palguarana ni mwanzo mwisho kuweka historia this time tunaweka historia ya Crown ya La liga na UEFA, Lazima ikumbukwe kuwa mechi iliyopita ndo ilikuwa fainali haswa kwetu...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Didier - anaamini kwamba klabu yake ya zamani ya Chelsea ni lazima imrejeshe kocha wake wa zamani Jose Mourinho mwisho wa msimu huu kama wanataka kumaliza matatizo ya kuyumba kwa klabu hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Scottish fans have written a song for Kenyan footballer Victor Wanyama who plays as a defensive midfielder or a centre back for Scottish Premier League side Celtic and the Kenya national team...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana,timu ya Chelsea iliitandika mabao 3-1 timu ya Rubin Kazan katika mchezo wa Europa League. Mabao ya Chelsea yamewekwa kimiani na Torres-2 na Victor Moses. Nayo Newcastle ilibamizwa mabao 3-1...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Kiungo anayeozea benchi Barcelona, Alex Song, yuko tayari kusikia ofa ya kurejea Arsenal mwisho wa msimu huu. Klabu hiyo ya London inasemekana kuanza pilika za kumrejesha. Inaaminika kwamba Song...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tutakua pamoja leo katika janvi kukuletea update za uefa champions league live kati ya real madrid na galatasaray saa 3 na dakika 45 kwa saa za tanzania usikose ama kwa upande mwengine wa ustream...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
Kiungo wa Barcelona, Eric Abidal (33) atakuwa "afisa mahusiano ya kimataifa" wa klabu hiyo atakapostaafu kucheza soka. Rais wa klabu hiyo Carles Vilarrubi amemuita Mfaransa huyo kuwa ni "nembo" ya...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi...
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Dar es Salaam. Wakati ujumbe wa Shirikisho la Soka Dunia (Fifa) ukitarajiwa kuja nchini Aprili 16, kufanya tathmini ya mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwenyekiti wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo saa 4;05 usiku kutakuwa na mechi nne za robo za kombe la Europe League, Chelsea v Rubin Kazan Tottenham v Fc Basel Benfica v Newcastle Fenerbahce v Lazio
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Malaga ya Hispania itaikalibisha B.Dortmund ya Ujerumani katika mfululizo wa mechi za robo fainali za Uefa Champion Ligi saa 9;45 pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Real Madrid ya Hispania inaikalibisha Galatasaray ya Uturuki katika robo fainali ya michuano ya Uefa Champion League.Kocha wa Real Madrid,Mreno Jose Mourinho anatafuta kuweka rekodi ya kuwa kocha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The APPLEABILITYSTORELIMITEDS ®} .... We are The Ultimate Appleabilitystorelimiteds .... The Best Apple Leading supplier of high-end products to customers, we deal primarily in genuine and brand...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vipi mpira umeisha? Tipeni matokeo jamani mbona wachoyo hivyo .. .... .... ..
1 Reactions
258 Replies
18K Views
Kweli mgema ukimsifia tembo hulitia maji, yaonekana sasa mheshimiwa Shafi Dauda anaitumia radio kupata nafasi TFF kwa kufanya uzabizabina kuhusu StarTV kuonesha 'live' mechi (za ligi) zinazoihusu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mchezaji wa Barcelona ya Hispania,Lionel Messi ameweka rekodi kwenye ligi kuu Hispania kwa kufunga mfululizo mechi 19.Kwa maana hiyo amezifunga timu zote 19 zinazoshiriki ligi kuu,baada ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom