Ya Zaha yamenikumbusha ya Boban

Ya Zaha yamenikumbusha ya Boban

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Mshambuliaji mpya wa Man United Wilfred Zaha,majuzi alikuwa kituko wakati team hiyo inaondoka Uwanza wa ndege kwa ziara yake ya Mashariki ya mbali kujiandaa na msimu mpya.
Wakati wachezaji wenzake wakiwa wametinga suti kali,Zaha aliingia uwanjani hapo katika Tshirt na Jeans inayoonekana kuchoka kuliko hata zile jeans anazotupiaga Anselm

. Zaha 1.jpg
Zaha akiingia Uwanja wa ndege.
Kituko hiki cha Zaha kinanikumbusha kituko cha aliyekuwa kiungo kipenzi wa Simba S.C,Haruna Moshi Boban...wakati Zaha aliingia na kituko cha Ulaya'Ulaya,Boban yeye aliingia na Kituko cha kwa Mtogole'mtogole.

boban+na+ndala.JPG
Boban katika Kandambili Uwanja wa ndege wakati team yake ikijiandaa kusafiri.

Look u'tofauti huu kwa karibu:-

Zaha 2.jpg
Zaha.

Kandambili.jpg
Boban.

Hata hivyo wakati Zaha alikosolewa na kulazimika kubadilisha mavazi yale palepale Uwanjani, Boban wetu alitetewa sana,watu walipojaribu kumkosoa.
 
mkuu zaha alipoteza suti alizopewa na club, alipofika uwanja wa ndege ikabidi atafutiwe nyingine, ila boban ni mtoto wa uswahili huwa ajali mazingira anafanya anachojisikia, nakumbuka wakati wanakabidíwa medali kwenye michuano ya kagame alivua sare za simba na kuvaa mavazi yake ya kitaa
 
Wapi babu fergie, mtu akae benchi mpaka anyooke!
 
Back
Top Bottom