njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 228
Karibu wachezaji wote wa simba sports klub wapya na wazamani washatoka kwenye makala nyingi za magazeti kuwwelezea'''kwa bahati mbaya yupo bwana mdoga anaitwa Miraji Adamu licha ya kazi kubwa aliyofanya katika mechi za mwisho kama beki namaba mbili sipata kuona gazeti au chombo chchote cha habari kikimwelezea'Katika pekua pekua yangu nimepata machache nataka mengine mniongezee humu nizidi kumfahamu'''''niliyopata ni [1]Aliwahi kuwa mchezaji bora wa copa cocacol[2] Aliwahi kuchezea Azam B kabla ya kutua SAMBA B.[3]Ni captain wa timu ya taifa china ya miaka 20........naomba mengine mnisaidie