Dogo ana uzalendo wa kweli na timu ya taifa

Mbuna

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
269
71
Nimeshudia dogo wisman mwenye miaka 23 aliyetoka mbeya kwa miguu hadi hapa jijini dsm tokea siku ya jumatano kwa ajili ya kwenda kutazama mechi ya taifa stars, kama ni uzalendo dogo kazidi kwani kwa nilivyomshuhudia huwezi amini kama ndio yeye katokea dar hadi hapa
 
Kama ni jumatano ya wiki hii hata kwa baiskeli tu huwezi kuwa umefika leo Dar, aseme tu alikuja na usafiri gani, Sumry au malori ya mchele.
 
ah ah aaaa..., hata kama alipanda gari, lakin umbali aliotembea ni mrefu sna
 
Wadanganyika dogo tiyari ashawadanganya, mbeya ipi utoke jumatano ufike leo au mbeya ya kibaha kwa matiasi
 
Kwanini safari yake isingeishia kijijini? au anataka kuuza sura? Isitoshe alikua napanda magari.
 
Achen fix hiyo kitu..haikubaliani na akili...ubongo mwembamba wew..mbuna umeitoa wap hiyo thread....
 
Aanze safari ya kurudi tanzania washapgwa tyr aone km ht manzese atafika
 
Hahaha...na timu aliyokuja kuitazama ikicheza ishaloweshwa...
 
Ni wendawazimu kuishangilia stars...tanzania hakuna tunakoweza labda mashindano ya kukung'utana kavu kavu
 
Wadanganyika dogo tiyari ashawadanganya, mbeya ipi utoke jumatano ufike leo au mbeya ya kibaha kwa matiasi

iyo stori ya kweli bwana wiseman mwakyusa luvunda ni kijana aliyetoka mbeya kyela kwa miguu kwa lengo la kuhamasisha na kuonesha uzalendo wake kwa taifa stars mm ni miongon mwa waliompoke kimara ambapo kwa sababu nilimpita igulusi mbeya wakat anatoka huko.clouds ilikuwa ikitangaza na kohojoiana nae maendeleo ya safar yake paka amefika wao wamempokea mbezi na umati mkubwa wa watu wakiwemo wa bodaboda na wamagari.njian alikuwa na bendera ya taifa na alipata sapot uya watu wakisimsubir kumpa sapot.nimeshuhudia viatu vyake vilichanika na clouds wakamtumia pesa kununua raba mpya.tenga amempa ofa ya kwenda uganda ktk mech ya marudiano japo leo pia zaidi ya watu watano walikuwa wamemuandlia toiteki za VIP kama ponge lakin TFF walikuwa wameshamkatia tiket umati uliompokea mbezi na kumpeleka clouds boss ruge akawapa ofa ya tiket 200 na usafiri wa bure kwenda na kurudi taifa.
 
Achen fix hiyo kitu..haikubaliani na akili...ubongo mwembamba wew..mbuna umeitoa wap hiyo thread....

tatizo lako ww ni masikini w information accessibility ndo maana unakuwa mbishi wa kijinga kuwa exploded to other medias sio unashinda jf tu na kama kitu hujui usiboshe maana huo nao ni uk
 
Nimeshudia dogo wisman mwenye miaka 23 aliyetoka mbeya kwa miguu hadi hapa jijini dsm tokea siku ya jumatano kwa ajili ya kwenda kutazama mechi ya taifa stars, kama ni uzalendo dogo kazidi kwani kwa nilivyomshuhudia huwezi amini kama ndio yeye katokea dar hadi hapa
Ujinga tu... Kisa cha kujitesa?
 
Nimeshudia dogo wisman mwenye miaka 23 aliyetoka mbeya kwa miguu hadi hapa jijini dsm tokea siku ya jumatano kwa ajili ya kwenda kutazama mechi ya taifa stars, kama ni uzalendo dogo kazidi kwani kwa nilivyomshuhudia huwezi amini kama ndio yeye katokea dar hadi hapa

halafu kafikia kichapo..
 
Back
Top Bottom