ufafanuzi kuhusu uhamisho wa wachezaji ulaya

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,741
Jamani naomba ufafanuzi kidogo pale mchezaji anapouzwa na timu moja kwenda nyingine mfano kauzwa paund milion 20 je hizo pesa inachukuwa timu husika yeye hapati hata shilingi ama ni vipi?
 
Puumbav...
Nyerere alikataa hayo mambo ya kuuzana kama machangudoa.
 
Back
Top Bottom