Yanga Wamuweka Sokoni Niyo?

Yanga Wamuweka Sokoni Niyo?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
DSC07204.jpg
Jamani Hivi Leo ni Tarehe Ngapi? Hii Habari naiona kama ya April Mosi
 
Habari za siku hizi nyingi ni udaku.
 
Auzwe tu, ila muhimu mbadala wake awe ni fund pia, yasitokee ya kma wazee wa kupakatwa had leo wameshindwa kuzba pengo la okwi na yondani
 
kwani hao toka simba wanauzwa wapi zaidi ya congo, wakienda ulaya wanenda beba mabox
Toka Mtaalamu Hussein Aman Masha aishilie kubeba ma'box kule Ulaya,binafsi nimepoteza imani kabisa na Wachezaji wanaouzwa na Watani zetu nchi za mbele.
 
Machupa alikua anafanyia mashambaa yaa zabibu, simba kujisifia tu hawana hata uwezo wa kuuza mchezaji apo ufaransa
Toka Mtaalamu Hussein Aman Masha aishilie kubeba ma'box kule Ulaya,binafsi nimepoteza imani kabisa na Wachezaji wanaouzwa na Watani zetu nchi za mbele.
 
Back
Top Bottom