Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Who is the dude covering his face and crying?...lol! Kijana keshatengeza poster ya nguvu hapa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni baada ya mpira kuisha,mpira mmoja wa thimba thiportisi kilabu ukawa hauonekani.Katika tafuta tafuta,julio akaukuta mpira kwa mchezaji mmoja wa Toto(somebody like samuel suita). Alipotaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1)utajua kuwa man anacheza 2)utajua kuwa man u ni wenyeji 3)utajua kuwa man u watavaa jezi nyekundu 4)utajua kuwa nyimbo gani zitaimbwa sn 5)utakadiria idadi ya watu watakaoingia uwanjan...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu jamaa sijui ana ban ya moderator au ya wife mda mrefu haonekan jukwaa hili
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Man U na Chelsea zimekutana mara 166 katika mashindano mbalimbali, ambapo Manchester United imeshinda mechi 72, Chelsea (45), na wametoka sare mechi 49. Chelsea itamkosa kiungo wake Juan Mata...
1 Reactions
60 Replies
16K Views
Wapendwa kuna mh mmija alikuwa mwenyekiti wa simba mh hassan dalali ambae aliondolewa kwa kigezo cha shule;baada ya hapo mzee dalali alianza darasa lka firm one na naamini amemaliza mwakajana kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Yaya Youre anasema ataikacha klabu hyo asipopewa mkataba mpya. Hii ultimatum inatokana baada ya kukwama kwa mazungumzo hayo baada ya miezi sita sasa. Akiongezea kwa hapo, agent wake, Dimitri...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. TIMU YA YANGA: - Makoye...
2 Reactions
108 Replies
11K Views
Mechi kati ya Bolivia na Argentina ya kufuzu kombe la dunia,iliyochezwa nchini Bolivia katika mji wa La Paz urefu wa mita 4000 kutoka usawa wa bahari ilisababisha wachezaji wa Argentina kuishiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi Simba, leo wanashuka kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kuivaa Toto African (ndugu wa damu na timu ya Yanga) katika mechi ya Ligi kuu ambayo inatarajiwa kuwa na ushindani...
0 Reactions
106 Replies
8K Views
One step to another Taifa stars we are behind you boys!!!,,mpaka magazet italy wametuchora~~^
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Jamani kwa mdau wa Yanga ama Mwana JF yeyote aliyeko uwanja wa taifa atupashe mchezo wa ligi kuu ya Vodacom tanzania Bara kati ya Yanga na Prisons kutoka Mkoani Mbeya. Wengine Leo tumebanana...
0 Reactions
32 Replies
12K Views
Timu ya Azam FC inayoshika nafasi ya pili ikiwa na 40 itapepetana na timu ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini Mlandizi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo timu ya Oljoro JKT itakuwa mwenyeji wa JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mjini Arusha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo tena timu ya African Lyon inayosuasua (timu nyingine wamezoea kuwaita VIBONDE) leo watakuwa wakisaka pointi tatu mbele ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bondia Francis Cheka kapigwa T.K.O ( technical knock out) huko ujeruman katika round ya 7
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwanza naanza na hili la kutoipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars). Dhumuni la timu ni kushinda kila mechi dhidi ya timu pinzani kwa lengo la kunyakuwa kombe katika mashindano yoyote, sasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati timu ya Taifa ya Soka Tanzania ''Taifa Stars'' ikiendelea kumwagiwa sifa kutokana na ushindi wa juzi dhidi ya Moroko,Serikari imesema itaunda kamati maalum ya kuisaidia timu hiyo ifanye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SOMA MWENYEWE HAPA: Samagoal: The GOAL of the weekend
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ona sasa, mtoto mwingine wa Berlusconi kafanya vimbwanga uwanjani: Clarence Seedorf faces 12-match suspension in Brazil - ESPN FC
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom