vyema sana, jeshi jipya in construction
yah!!! Vijana wako kwenye trial.naona mnakomaa na watoto nini ~Mombeki~
URA ina mabeki wazoefu saaaana
Joseph Owino na Derick Walulya....lakini pamoja na hao Vijana wa Simba wanapenyapenya kwenye ngome yao kama kawa...bilashaka msimu ujao hawa vijana watafanya kweli.
Hivi wewe ni timu gani?maana hauko Simba+Azam wala Yanga!!URA funga hao wababaishaji wa soka la bongo.