Wanasheria waiteka TFF!

Wanasheria waiteka TFF!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007

Leo,Rais wa TFFNdugu Leodgar 'Chilla' Tenga ametangaza Kamati mbalimbali zitakazotawala ndani ya TFF. Katika Kamati zote,Wanasheria wameteka kuanzia Uenyekiti hadi ujumbe wa kamati husika.



Mfano,Kamati ya Rufaa ya Nidhamu itaoongozwa na Mtukufu Jaji wa Mahakama ya Rufani,Bernard Luanda. Kamati ya Uchaguzi itaoongozwa na Wakili Msomi Mama Jesse Mnguto wakati ile ya Rufaa kweye Uchaguzi itakuwa chini ya Profesa wa Sheria Gamalieli Mgongo-Fimbo. Katika Kamati hizo za leo, wamo pia Msajili wa Mahakama Kuu,Wakili Msomi O. Kibuta na wanasheria wengineo.



Je, Wanasheria watatenda haki na kupeleka kandanda letu katika hatua za mbele?



Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

 
Back
Top Bottom