Hiv tff kwann tusijaribu hili

Hiv tff kwann tusijaribu hili

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
Hiv kwanin tuendelee kulia na tatizo la uhaba wa washambuliaji wakt inaonekana ni janga la kitaifa! TFF hiv kwann tusifanye umafia wa kuishawish serikali itoe urai kwa wachezaji wa kigen ambao wanaonekana wanajua kufunga ili tuongeze nguvu huko mbele na sio kuwa wattegemea kina SAMAT + ULIMWENGU, eb tujaribu kuwashawishi kina KIPRE TCHETCHE,+plus Ndugu yake eeh ili wawe watannzania na wapate nafasi ya kucheza timu ya taifa kwan kule kwao kunawachezaj mpka baasi na si zana hata kama huwa wanafukiriwa kucheza timu ya taifa ya kwao!! EB Wana JF tujadili hili kwan tumeona kina zidane utaifa wao ni ALgeria, na wengne weng wamebadili uraia basi nasi tuwashawishi kwa hili

NAWASILISHA HOJA MEZAN.
KARIBUN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom