Kwa wafuatiliaji wa michezo na wale wanaofanya betting online,michezo kama football,basketball,tennis,rugby,n.k.
mmeshafanikiwa kujishindia donge nono?je mlifanyaje?
unapanga timu zako kama 10...
AFANDE SELE AGOMA KULA BAADA YA SIMBA KUPAKATWA NA YANGA
King Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya watu wanaoonekana kuwa addicted na ushabiki wa soka kiasi...
Nimeshindwa kujizuia nikitafakari matokeo ya mechi ya Simba na Yanga... kweli matokeo ya mechi ni kushindwa kushinda na kutoka sare... lakini mazingira ya mchezo wenyewe ndo tatizo... Kipa kaseja...
Breaking news / His career as Real Madrid's manager is over
Bye Bye Mourinho!
Real Madrid president Florentino Pérez has confirmed the exit of the Portuguese manager José Mourinho at the end...
Mario Balloteli jana alifunga bao moja na kuisaidia AC Milan kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Siena.Bao lingine la Milan liliwekwa kimiani na Mexes aliyeunganisha krosi ya Montolivo. Mabao ya Milan...
Wadau nimepata wakati mgumu kusikia kuwa Ngasa amesaini yanga.sina tatizo na yeye kwenda Yanga,ila concern yangu ni je;DIRISHA LA USAJILI TAYARI LIMEFUNGULIWA?KAMA BADO NI UTARATIBU/KANUNI/SHERIA...
Jamani naombeni msaada wenu,hii haikua mechi ya fainali,kwanini simba wamepewa medari.?na kama ni utaratibu mbona mwaka jana baada ya kuwaadhibu yanga kwa gori tano hawakupewa medari.?
Wao mafanikio yao ni kumfunga Simba tu.Wanasema hawategemei kufanya usajili kwani wachezaji walio nao wanatosha kukabiliana na mashindano!Hivi Yanga wana striker wa kupambana ktk klabu bingwa...
Pamoja na Simba kutumia wachezaji wake vijana wenye spidi mbio na vipaji vya hali ya juu kama Chanongo, Seseme,Singano na wengine lakini Yanga wameonesha kuwa hawabahatishi wameweza kuwapiga Mabao...
Wadau,
Nimesoma gazeti moja jana linaloeleza jinsi Michae Wambura anavyofafanua kuhusu kinachotakiwa na FIFA kuhusu marudio ya uteuzi wa majina ya kugomea urais wa TFF.
Wengi tumesikia na binafsi...
Habari ambazo zimezagaa ni kwamba Manchester City wanatarajia kumfukuza kocha wao wa sasa Roberto Mancini.
Nafasi yake inatarajiwa kuchukuliwa na kocha wa sasa wa Malaga, Manuel Pellegrini...
Wabunge wawili ambao ni wanachama wa Simba na mmoja ni mwenyekiti, Ismail Aden Rage na Felix Mkosamali (Muhambwe) wamekiri kusafiri kwenda mikoani kuweka mambo sawa ili kuishinda Yanga leo...
David Beckham makes tearful exit in final Paris Saint-Germain home game Beckham pays tribute to colleagues, staff and fans
Unlikely to feature in PSG's final game away at Lorient...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.