Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rooney na Nani kuelekea PSG !
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ligi yetu ya soka haina timu nyingi kama tunavoona nchi za wenzetu, sasa inakuwaje timu moja iwe imecheza mechi zaidi ya mbili kuliko timu nyingine? Majuzi kocha wa Toto African ya Mwanza...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
habari wana Jf, kwa mtizamo wangu tu,ningependa mashabiki wa Yanga ambao ni Jf members siku ambayo tutangaza kutwaa uchampion wa ligi kuu ningeomba tuandae sehemu maalumu tukutane hapo ili...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
The will to win means nothing without the will to prepare. Juma Ikangaa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Labda mtueleze ni Ferguson/Wenger style lakini sasa yatosha kwa kumbadilisha kocha wa timu ya soka ya taifa. Kocha huyu hana jipya kwa sasa na tuachane na propaganda yake chovu kuwa kipa anapokuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wapenzi wa mieleka ya WWE,, kwakweli john cena amekwisha pili jamaa hajiamini. ananyanyaswa na the rock mpaka anatia huruma. tena jamaa hatumii silaha ni ubavu wake tu. john cena anajiandaa...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
sitaisahau siku, bully ray alipochukua mkanda wa TNA champ kutoka kwa Jeff hardy. alimwambia brook: i screwed you' hulk hogan: i fooled you. iam a the presidents of Aces and Eights, and am the TNA...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Akiharibu na kwenye hii waumini wake hawatamuona Maracana WC2014: Ronaldinho keeps spot in Brazil team to face Chile - ESPN FC
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Baada ya kuchezwa tangu mwanzoni,sasa zimebaki timu nne za soka kwenye Klabu Bingwa Barani Ulaya-UCL toka ligi kuu mbili tu barani humo:La Liga(Barcelona na Madrid) na Bundesliga(Bayern Munich na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wale mlioshuhudia mpira wa 70s na 80s,na mliomuona sunday manara akicheza,najua kwamba alicheza yanga,pan na uholanzi Heracles, kuna mtu ananiambia nyie awa kina messi ni kama kina sunday enzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Thursday, 04 April 2013 17:33Written by Mwandishi wetu Mchoro wa Uwanja wa kisasa wa Klabu ya Yanga Mchoro wa Uwanja wa Kaunda utakavyo kuwa ndani Dar es Salaam WAKATI...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Nimesikitishwa sana na kuiona simba pekee katika maelfu ya ordha ya timu za mpira duniani, nilianza kuongalia club bora duniani ni B/M ya ujerumani man timu yangu ni ya nne nikaja nchi bora...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa kwenye mechi kati ya Villa squad na Simba. Matokeo yalikuwa Vila 1 Simba 0. Mfungaji alikuwa Nsa. Kumbuka mechi hii ilimalizika Vila wakiwa 8 uwanjani baada ya redcard za ajabu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Napenda kuwataadharisha viongozi wa Azam FC kuwa wasione wanashangiliwa mno hivi sasa wakajisahau, kumbukeni nchi hii ina virusi viwili katika soka letu navo ni Simba na Yanga. Virusi hivi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wadau kwa mitazamo yenu naombeni mnitajie mikoa top 3 mnayoiona ina vipaji lukuki vya soka
0 Reactions
19 Replies
4K Views
WanaJF forum za Leo! Leo katika pitapita zangu mitandaoni nime kutana na jina la mchezi wa mlinzi wa timu ya Mamelodi Sundowns ya A. Kusini. Jina lake linaandikwa kama Method mwanjali au mwanjale...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya jana kushuudia mchezo na Yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli 3 - 0 dhidi ya Oljoro JKT,leo tena jioni tutashuhudia mtu na wifi wakimenyana kinafiki uwanja wa Taifa mara nyingi sana...
0 Reactions
169 Replies
22K Views
mjumbe wa fifa anakuja kesho kusikiliza pande zote juu ya uchaguzi wa tff
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpira ni wa kasi balaa ila kwa mtazamo wangu ni kwamba Chelsea hapa hawana bahati Kila la Kheri Man City na copy hii imfikie Saharavoice popote pale alipo!
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Yani leo ni siku ya kihistoria sana kuna kitu kitafanyika pale uwanja wa taifa.Kama hujui leo washabiki wa YANGA na SIMBA wote wataungana kumshangilia MNYAMA wa MSIMBAZI pale atakapomenyana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom