Pigo Barcelona,Fabrigas atimkia UTD,Vilanova abwaga manyanga!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
950
Masaa 48 yajayo kiungo wa Barcelona Fabrigas atamwaga wino kutumikia MAN U,wakati huo huo kocha wa Barcelona Tito Vilanova(44)amefunguka kwamba anaachia ngazi kuinoa timu hiyo kutokana na maradhi yanayomkabili ili aende kupata matibabu ya kutosha nchini marekani!
Leo bodi ya wakurugenzi ya barcelona inatarajia kutoa tamko rasmi juu ya kocha huyo kubwaga manyanga.
 
Barcelona itabaki kuwa Barcelona, wakiondoka Messi, Iniesta, Xavi na Alves hapo kidogo ndo nnaeza kusema Barca ipo pabaya. Kwanza hizi habari umepata wapi Mkuu?
 
Mkuu hii ya Vilanova kustepdown ni kweli. Hata rais wa barca Rosell na bwana Zubizareta wamefanya press leo jioni na wamecorfim jamaa amerisign kwa sababu ya afya. Hili la Fabrigaz kwenda Man u inabaki tetesi. Chanzo: Goal.com.
 
kuhusu Tito Vilanova ni sawa kabisa, lakini kwa Fabregas bado ni hisia ndo zinatawala, labda kama kuna chanzo kingine cha habari.
 
Mkuu hii ya Vilanova kustepdown ni kweli. Hata rais wa barca Rosell na bwana Zubizareta wamefanya press leo jioni na wamecorfim jamaa amerisign kwa sababu ya afya. Hili la Fabrigaz kwenda Man u inabaki tetesi. Chanzo: Goal.com.

Kweli Mkuu hata mi pia nimejionea.
 
Anastahili kwa kweli ili akapate matibabu lakini namshangaa mbna haku stepdown mwishoni mwa ligi yaani mwezi wa 6?haona kama ita tugharimu kumtafuta kocha halafu tuanze ku cope nae?ni maamuzi ya busara kama it was on ryt time

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaani Kaka, mimi Tito nilikuwa namkubali sana kwasababu hakuwa na ubaguzi.
 
Fab siyo mchezaji wa kuleta ufa barca, akiondoka itakuwa salama yake unless atasugua sana.
 
Natamani uongozi wa Barca wampe Luis Endrique Manteneze nafasi ya ukocha. Jamaa ni mcatalunya wa kweli, amekulia pale la masiah,amekipiga pale camp nou mpaka alipotundika daluga. Kwa sasa ni kocha wa timu ya watoto pale barca. Jamaa anaitikadi kama za pep guandiola. Amewahi kufundisha club ya As Roma ya italia.
 
Yaani sijui watampa nani hii team.
 
Back
Top Bottom