Kwa wapenzi wa arsenal. Alipoondoka
kapteni veira akaenda juventus, kocha
wa juve capello msimu ulo fata akahama,
kapteni thiery henry alipo hamia
barcelona kocha wao franc rijkad mcmu
ulofata...
Kwa wapenzi wa arsenal. Alipoondoka
kapteni veira akaenda juventus, kocha
wa juve capello mcmu ulo fata akahama,
kapteni thiery henry alipo hamia
barcelona kocha wao franc rijkad mcmu
ulofata...
Za kwangu ni hizi......................................sijui wewe
1.Peter Schmeichel (signed from Brondby, 1991)
2.Eric Cantona (signed from Leeds, 1992)3.Roy Keane (signed from Nottingham...
Kumbe Van Persie alimuandikia Wenger barua kabla ya mechi ya marudiano?
ha haaa
Dear Arsene,
Hi Professor,how is North London ?I hope you and the guys are well.
How is the race for fourth...
David Moyes anategemewa kuteuliwa kuwa kocha mpya wa Mancheter United.
Moyes atachukua nafasi ya Sir Alex Ferguson aliyetangaza kustaafu mwishoni mwa msimu huu.
Taarifa rasmi ya kuteuliwa Moyes...
Kuondoka kwa Babu Man U, Chanzo ni Van Persie. Arsene Wenger alilijua hili mapema na aliona ni bora kumkosa Van Persie kuliko Babu kuendelea kuwepo Man U... LOOK AT UR SELF...
Hii sheria nayo sasa imefika mda nayo itumike huku kwetu ili kuleta ushindani zaidi katika soka letu timu zetu zitakuwa zikijitaidi kushinda kabla ya ligi kuisha ili zipigiwe makofi kama...
Naomba tujadili nani atamrithi Fergie coz it is rumored kwamba may be after two seasons, Fergie will call it a day at Utd and Man Utd directors wameshaanza kutafuta for a possible replacement...
Jana wakati akifunga mashindano ya BULAYA CUP huko BUNDA mbunge wa viti maalumu ESTER BULAYA alilalamika kwamba wakati yeye akitafuta fedha kwa hali na mali kuendesha mashindano hayo kuna watu...
Ñarudia tena Barca kufungwa na Beyern sio kigezo au vigezo wanavyovitumia wataalamu wa soka kuchagua club boraaaa kabisa Barcelona
Ni mfumo wa uchezaji,ushindi katika mechi nyingi nyingi,ubora...
Mbona hakuna wafuatiliaji wa NBA playoff tunacheza muda huu...Game limefika 4th quarter Tanzania wapo nyuma point 3 na tunacheza nyumbani... Mungu ibariki Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.