Tu-analyse matokeo ya iaaf moscow

Tu-analyse matokeo ya iaaf moscow

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Jumapili ilikua ni closing ceremony ya mashindano makubwa sana ya riadha kule moscow kuna mambo kadhaa yalinoshangaza labda niyaweke ktk point form ndio tuyajadili
1. mashindano yale yalipewa media blackout hapa kwetu kabisa... sielewi kama ilikua makusudi au la, ukweli ni kwamba yale yalikua mashindano makubwa sana yaliyokua yakiendelea.

2. pia tuchukue fursa hii kuwapongeza jiran zetu kenya kwa performance waliyoonyesha nadhan tuna kila sababu ya kujifunza kutoka kwao ukiangalia nature ya wakimbiaji ni wamasai kama na sisi tulionao kwa nini sisi tushindwe kuwaandaa na kuwapeleka.

3. massive failure ya tanzania.... sidhan kama chama cha riadha nchini kinaweza justify utumbo huu.... dalili zilikua wazi kua hakuna tutachofanya na mwisho ni idadi ndogo ya athlets tunaopeleka ni kweli ktk michezo yote ile nchi hii haiwezi toa washinda zaid ya mbio za nyika tu???

4. changes must come has ktk mfumo mzima wa uendeshaji huu mchezo hapa nchini.... it was painful kuona washiriki wa matifa mbalimbali wanachukua medali namna ile.
 
Back
Top Bottom